Recent content by luniz

  1. L

    Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

    Kwakweli huu ni uhaini kind of.. Wanaweza kujaleta machafuko kwa upuuzi wa namba hii..
  2. L

    DAKTARI "Nassari ni muongo na ni mnafiki, tumemruhusu badala yake kadai eti katoroka"

    Hakuna "proffersional person" ambae anaweza kuongea hayo maneno yako ya "unafiki and all stuffs""....usituletee UVCCM wako hapa..
  3. L

    Shehe Mkuu wa Tanzania awakataza Waislamu kushiriki maandamano ya kisiasa

    Kwakwelii inakitisha Kiongozi wa Kidini kama huyu ambae inaonekana wazi kuwa amesaha kuwa asilimia kubwa ya hao anaowakataza WASIANDAMANE ndio wanaohitaji MABADILIKO yatakayoletwa na Chama kama CDM. Anajisahau kuwa Asilimia kubwa ya hawa anaowakataza WASIANDAMANE ndio ambao watoto wao wamefeli...
  4. L

    Zitto aisumbua chadema; Chama chafikiri namna ya kumdhibiti?

    Tunashukuru mdau kwa kutoa maono yako, lakini nadhani ni suala la wazi kuwa ishu iliyozungumzwa na uongozi wa CHADEMA ni kuwa wanawaandikia barua ya "warning" ambayo itahitaji majibu kutoka kwa wabunge hao "Plus" Zitto kutoa sababu za msingi zilizowafanya washindwe kuhudhulia bunge ile siku ya...
Back
Top Bottom