Recent content by lunie

  1. lunie

    Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Kama mwanafunzi hawez fuata agizo dogo tu la kuchomekea,ambalo halidhuru kitu je ataweza fuata maagizo yanayoumiza ya kwenda kutafuta vitini ajisomee?
  2. lunie

    Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Ushafika kibaha boys, tumbi sec ,Marian sec then angalia kama Kuna uvaaji huo usio na nidhamu. Kisha Rudi Kwa hawa wanaovaa za vipedo,na mashati mafupi. Linganisha ufaulu wao. Uvaaji ni sehemu kuvea ya nidhamu
  3. lunie

    Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    We ni mwanafunz, angalia watoto wanaofaulu siku zote wako smart, hawanaga kwenda na wakati. Kuvaa ni nidhamu, nidhamu ndo Kila kitu Katika ufaulu wa mwanafunzi.
  4. lunie

    Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Jamaa angu uko tz unajilinganisha na mbele ambao hawana mifumo yenu ya kukariri darasani
  5. lunie

    Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Kila kitu katika makuzi ya mtoto,tabia,elimu,nidhamu huanzia nyumbani.. mwalimu anaongezea pale alipoishia mzazi
  6. lunie

    Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

    Hao walim,wamejenga,Wana maisha mazuri, wanamiliki hizo boda zao bado anamkandia,, Afanye kazi zaidi asikae kulalamika.
  7. lunie

    Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

    Jamaa una hasira Kali sana baada ya kukosa kazi ya ualimu, umeona ujifariji Kwa kuwakandia.
Back
Top Bottom