Recent content by lunge Makusanya

  1. L

    Kuhusu Ndege ya Mh Rais Kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Muungano

    Kuna kutumia zaidi ya hili la kuwa fahari ya miaka 50 ya muungano wetu.
  2. L

    Kuhusu Ndege ya Mh Rais Kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Muungano

    Mkuu kumbe mna ushahidi wa hiyo 10% ya ndege mpaka mme wafungulia watu kesi basi mnatisha. Swali kwako ndege mnaitumia au la? Jibu moja tu ndio/hapana.
  3. L

    Deni la Tanzania sasa lafikia trilioni 40, IMF yaionya serikali

    Nani kakuambia mimi ccm? Tafadhali mkuu na matusi yako ya retail. Nakutajia endeleo moja tu. Mabarabara zaidi ya km 11000. Sasa chukua zaidi 11000km × billion1 @km wastani=Na zaidi ya shilingi trillion ngapi? Utajaza mwenyewe. Mnazani hela za barabara zinazo jengwa kila pahala zinatoka wapi...
  4. L

    Deni la Tanzania sasa lafikia trilioni 40, IMF yaionya serikali

    Mimi nitasikitika sana kama awamu hii ya nne ya uongozi wetu ita maliza muda wake kabla ya deni kufika trillion 100 tu. Wamefanya miradi mingi ya maendeleo acha wa kope tu, tunaona wanafanyia nini hii mikopo. Awamu zinazofuata watalipa tuna raslimali nyingi tu. Deni hili ndio kipimo cha...
  5. L

    Kuhusu Ndege ya Mh Rais Kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Muungano

    Wadau ndege hii sio ile takribani miaka 10 iliyopita ununuzi wake ulileta malumbano makubwa kabisa kwenye jamii ya Watanzania. Kama imetumiwa kwenye maonyesho ya miaka 50 ya muungano tena ikipita ikiwa ina sindikizwa na ndege vita na kushangiliwa na pia kusindikizwa na maneno ya kimombo si...
  6. L

    JWTZ wavamia kituo cha FFU na kukisambaratisha

    Jamani habari za kintelegensia hazi kufanya kazi mpaka jkt 25 wanajimobilize na kwenda kuvamia kambi ya ffu. Kuna tatizo mahali. Lakini siku moja kwenye malumbano ya hoja itv kuna babu mmoja nilimsikia akisema wakati wa awamu ya kwanza Nyerere alikuwa na askari wa kikosi cha inzi au nusanusa...
  7. L

    Kikwete aandika Historia katika kulifanya Jeshi la JWTZ kuwa la Kisasa

    Wewe Waltham matusi hayana tija udhaifu wa jeshi lenu la kenya umejizihirisha hapo somalia na westgate huu ni ukweli mchungu. Hapo westgate watu wanne tu wamewasumbua zaidi ya wiki. Na mbaya zaidi wanajeshi wenu wakapigwa picha za aibu wakiiba na kuvunja safe. JWTZ wanafanyakazi zao kwa moyo...
  8. L

    Kikwete aandika Historia katika kulifanya Jeshi la JWTZ kuwa la Kisasa

    Kenya na hata uganda hamna kitu wameenda hapo somalia alshabab wana watoa jasho kwelikweli labda hizo nchi nyingine sijui. Ila iraq ya sadam ilikuwa na bora zaidi ya hizi zetu. Usiku mmoja tu wa shock and awe wakabaki hawana kitu, sisi bado sana tusibweteke na kuvunja matofali na sema bado...
  9. L

    Wakina Warioba waende mbele ya bunge la katiba kutoa ufafanuzi walivyokusanya maoni

    Mh unaugomvi na polepole naona humtakii mema, unataka aende bmk na hoja zake zilivyo na mashiko akaharibu mpango mzima na wenye huo mpango wa muangalie tu.
  10. L

    Mh. Jaji Joseph Sinde Warioba

    Kadhihirisha ule wasiwasi wa mh mkuu wa nchi aliokuwa nao kuhusu serikali tatu kuwa zinaweza kusababisha jeshi kufanya maasi na kupindua nchi. Yeye kautangazia umma wa Watz kupitia bmk kwamba rasimu ya katiba iki kubaliwa na kupitishwa na wananchi kama ilivyo anaingia msituni. Ikumbukwe huyu ni...
  11. L

    Watumishi wa Mungu Mlio Wabunge wa BMK

    Mkuu hizo posho zimewafanya nini?
  12. L

    Watumishi wa Mungu Mlio Wabunge wa BMK

    Ningependa msome maneno haya ya Mungu kutoka Biblia Takatifu, Zaburi 1:1-2 na yana sema hivi; Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake...
  13. L

    Kwa Nini Tuwazuie Wajumbe wa Tume ya Warioba Kutoa Ufafanuziwa Rasimu?

    Kama nia ni nzuri ya kupata katiba ya Wananchi, na tume ya Warioba ndio iliyopewa wajibu wa kukusanya maoni ya Wananchi, iweje leo ukereke wanapotoa ufafanuzi wa yaliyomo katika rasimu? Unapo sema twakimu zilizopo kwenye rasimu zimepotoshwa hazifaia kutumiwa kutengeneza katiba, wewe unakuwa...
  14. L

    Sauti Ya Wengi Ni Sauti Ya Mungu - Mama Lwakatare

    Angasema ni mungu gani anaye maanisha labda mungu wa baali hapo mlingotini. Mungu wa Eliya si hivyo ni Mungu wa kweli tu. Haijalishi ni wengi au wachache ni kweli tu. Hawa wachungaji wa mshahara hawa, watatuyumbisha sana na bahati mbaya wana sikilizwa na wengi. Na Mungu anasema watu wangu...
  15. L

    Ni Wakati Mwafaka Sasa Kuachana na Mchakato wa Katiba Mpya

    Kwa mujibu wa mabavu na mashinikizo ni kweli hivi unavyosema lakini je katiba isiyo na maridhiano itafanyakazi na kufanikiwa enzi hizi za mahakama ya the hague? Hapo sasa. Nakumbuka kumuona muheshimiwa Rutto wa kenya akifuta machozi mahakama kule uholanzi wapambe wake wote wakimchungulia tu kwa...
Back
Top Bottom