Kwani hiyo katiba ni biblia au masahafu kwamba kosa alofanya hatosamehewa Na Muumba...usipomsamehe wewe wenzio tushamsamehe Kwa Muhanga alojitolea cku za nyuma kuruhusu mijadala ambayo ilipelekea hata huo ufahamu ulokuwa nao juu ya Bunge Na madhaifu ya serikali.....Mungu amjaaliw Afya apone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.