Recent content by Lumwago

  1. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yamjibu Polepole madai ya kutumika na CCM

    Unadhani wote tunaakili kama zenu.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Nadhani tumpongeze mh Rais kwa kukubali kuanza kukutana na wenye mawazo tofauti na serikali, mwanzo mzuri. Nadhani Kuna siku atakutana na kina heche na timu yake.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

    Tukikubali cdm ife tumekwisha
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

    We ndio umechanganyikiwa. Jibu kwa hoja alichosema kuwa chama kimeunga nida na nec
  5. L

    JamiiForums Tanzania Namna CCM wanavyonufaika kwa kuunganisha mfumo wa NEC na mfumo wa NIDA kufanikisha wizi wa kura

    Je wazungu ambao ni hao waangalizi huo mchezo walikua hawajui? Na wao ni wazuri ktk IT
  6. L

    JamiiForums Tanzania Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Ndio maana wasira alisema kuwa CCM aitatoka madarakani hadi yesu atakaporudi! Kumbe alikua anajua uhuni uliofanyika. Mungu atawahukumu wote wanaodhulumi uchaguzi.
  7. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Eng Hersi Said ameenda kugombea Kongwa naanza kuona harufu fulani puani kwangu

    CCM wakimpitisha watupe na sababu kwanin kigamboni walimkata.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Bangi! Shida yake nn? We ndio shida
  9. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Tutamshauri Lissu tukatie rufaa maamuzi ya ''Mashahidi wa Siri''

    Wala msihofu! Hakuna la mwanzo likakosa mwisho. Wengi wapo upande wenu. Ni suala la muda tu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu wa CHAUMMA atinga na nyomi kuchukua fomu ya Urais

    Hakuna chama kitakachokufa kibudi kama hiki. Coz kimejengwa kwa kuwachukiza watanzania. Uchaguzi ukiisha nacho kwaheri
Back
Top Bottom