Ww jamaa kazi ya uaskar unaijua vzr?? Au unaisoma kwenye magazeti na kuona Picha..unajua n kias gn askar walivo na risk ya kupoteza uhai mda wowote?? Ukivamiwa SAA nane usiku mnakimbilia kupiga cm police vijana makamanda wanafika na kuanzia kupamban na walifu....unajua ww mda umelala makamanda...
Kwan police na jwtz wanao lipwa kulingana na slim zao n taasis za nn?? Unayajua vzr majeshi ya TZ?? Unaujua ugum wa kuwalinda wafungwa?? Eg wafungwa wa kunyongwa,,kifungo cha maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.