Hongera Rais na Mwenyekiti wa CCM, DKT Magufuli kwa kuwatumbua Luhwavi na Nchimbi chamani

Lizaboni acha unafiki kama walikuwa wanakiuhujuma chama kuna ugumu gani kuwafukuza? Kuthibitisha kuwa we we ni mwongo Chama hawajafukuzwa Na bado wamepewa ubalozi wakale bata ulaya chini ya serikali ya CCM unayodai wanaihujumu wewe kaa Na wivu Na majungu yako hupati cheo NG'OO
 
Mkuu, hoja si kupata nafasi bali kuwaondoa kwenye mfumo wa chama. Wao ndio waliokiharibu na huwezi ukawatoa kienyeji tu wanaweza kusababisha madhara chamani
mnawatoa kutoka kwe mfumo wa chama chenu lakin mnawaweka kwe mifumo ya serikali......nyie mna nia gan na hii nchi?
 
1480851851341.jpg
 
Tuwape hongera kwa kuteuliwa. Maana wangetumbuliwa bila kuwekwa mahala hakika hali zao zingekuwa mbaya sana
Kuliko wewe, unaweza jifananisha na Nchimbi wewe? Au humfahamu!! Pole sana utaishia hivyo hivyo mpaka teuzi zinaisha.
 
Kawadanganye wajinga kama huyo aliyekuwaeka Dar ili utumikie mafisadi hakika kiama chenu kikaribu
Kiyama kinawajia nyie na magenge yenu mliohujumu Kikwete,Kuhujumu nchi na sasa mnajitia kuyumbisha Magufuli,You are welcome to the war.I am a fighter and I like fighting than any other thing in my life.
 
Kuna huyu bwana msaka tinge Lizaboni wa pale Lumumba no MTU hatari sana Kwa majungu.Lizaboni amekuwa anadai eti Hapi Mkuu wa wilaya ya Kinondoni , Emmanuel Nchimbi Na Rajab Luhwavi eti wanakihujumu CCM .Sijui ana ushahidi gani kama sio Wivu Majungu Na Njaa Kali aliyonayo.Lizaboni unapaswa ujue iwapo hao unaowataja wangekuwa wanakihujumu Chama wangefukuzwa sidhani kama CCM imeshindwa kuwafukuza.Hao ni wanaccm safi Na ndio maana wamepewa Ubalozi wakale Bats Ulaya we we kaa Na Wivu Na Majungu yako.
 
Ni mda mrefu sasa nimekuwa nikiandika humu juu ya hujuma zilizokuwa zinapangwa na kutekelezwa na watu wasiompenda Rais Magufuli chamani.

Rajab Luhwavi na Emmanuel Nchimbi ni miongoni mwa waasisi wa mkakati huo. Baada ya kubaini njama hizo, hakika nilisimama kidete kuhakikisha kuwa hujuma hizo hazifanyiki.

Nilimtaja pia na DC wa Kinondoni Ally Hapi kuwa ni miongoni mwa waliokuwa wanahujumu chama

Leo kilio changu kimezaa matunda. Luhwavi na Nchimbi haoooo ubalozini. Kwa sasa hawana nguvu wala mamlaka chamani. Heshima lazima irudi

Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani
Hivi mdau naomba kuuliza swali unatumia kiungo gani cha mwili kufikiria aise badala ya kujadili vitu vyenye maslahi mapana kwa taifa wewe unatuwekea maigizo hapa aise kweli kua uyaone
 
Ni mda mrefu sasa nimekuwa nikiandika humu juu ya hujuma zilizokuwa zinapangwa na kutekelezwa na watu wasiompenda Rais Magufuli chamani.

Rajab Luhwavi na Emmanuel Nchimbi ni miongoni mwa waasisi wa mkakati huo. Baada ya kubaini njama hizo, hakika nilisimama kidete kuhakikisha kuwa hujuma hizo hazifanyiki.

Nilimtaja pia na DC wa Kinondoni Ally Hapi kuwa ni miongoni mwa waliokuwa wanahujumu chama

Leo kilio changu kimezaa matunda. Luhwavi na Nchimbi haoooo ubalozini. Kwa sasa hawana nguvu wala mamlaka chamani. Heshima lazima irudi

Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani
Walikihijum chama kivip,,je angewateua kuwa mabaloz
 
Kiyama kinawajia nyie na magenge yenu mliohujumu Kikwete,Kuhujumu nchi na sasa mnajitia kuyumbisha Magufuli,You are welcome to the war.I am a fighter and I like fighting than any other thing in my life.
Mbona Magufuli kajipoteza kabisa ni mshindwa katika kila nyanja we never fight with loosers
 
Weka akiba ya maneno, Kumbe kama ni waovu mbona wamepatiwa vyeo , ama ndo style ya ukoo wa panya akiharibu kusini anahamishiwa kwingine.

Ni mda mrefu sasa nimekuwa nikiandika humu juu ya hujuma zilizokuwa zinapangwa na kutekelezwa na watu wasiompenda Rais Magufuli chamani.

Rajab Luhwavi na Emmanuel Nchimbi ni miongoni mwa waasisi wa mkakati huo. Baada ya kubaini njama hizo, hakika nilisimama kidete kuhakikisha kuwa hujuma hizo hazifanyiki.

Nilimtaja pia na DC wa Kinondoni Ally Hapi kuwa ni miongoni mwa waliokuwa wanahujumu chama

Leo kilio changu kimezaa matunda. Luhwavi na Nchimbi haoooo ubalozini. Kwa sasa hawana nguvu wala mamlaka chamani. Heshima lazima irudi

Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani
 
Hii ni id ingine au.

Nje wanafuatilia nyendo zinazohusiana nchi yao hawana interest ya ccm inatakiwa kufanya nini.ukweli baadhi ya zitafurahi kusikia ccm ikiondoka madarakani.

Nikupe mfano mmoja mapinduzi yaliyoshindikana Uturuki sehemu kubwa yalipangwa na mabalozi.
Hata balozi mdogo na first secratary waliokuwa hapa kwetu inasadikika walihusika. Maana wote wamekimbia hawajulikani walipo.

Huo ni mfano mdogo tu usijipe moyo sana. By the way wamekutukana kwa kuwapa hivyo vyeo maana intel community wameona sio threat kwa rais na nchi ndio maana wamepewa vyeo.
Anazo nyingi pamoja na 'nibozali'
 
Lizaboni una gundu aiseee, maana kila nafasi zikija unapigwa chini na kujitutumua kote huko?
kaoge maji ya chumvi ikiwezekana angusha ng'ombe kabisa maana hii sio haki, unajituma sana kwakweli lkn mafanikio hakuna
 
Back
Top Bottom