JamiiForums Tanzania
Ajira
jamani tuwe na hofu ya mungu, mleta uzi ni TAPELI 100% leo nimeenda game supermarket ya mliman city nakuonana na wahusika, majib ni kwamba HAWAJATANGAZA POST HIZO. Haya ndugu yang mleta mada umetoa wap hiz taarifa? jaman tuwe makin humu jf. Haibiwi mtu imekula kwako jipange upya mkuu ulete uzi...