Recent content by Lukuta

  1. L

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Asante kiongozi ngoja tuongee then nitakutafuta.
  2. L

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Nimeipenda hii mamaNa. Tafadhali nami naomba details lukutta@gmail.com kuna eneo nataka nalitaftia pesa ya kuwekeza kwenye kilimo. Mke wangu ana taaluma ya kilimo na amekuwa akinisisitiza sana juu ya greenhouses. Nina eneo tayari natafuta mtaji wa kuwekeza. Alipata mtaalam wa hii kitu kwa abt...
  3. L

    Kutoonekana kwa Ndege ya Malaysia, je ni aibu kwa sayansi?

    I have the same feeling bro. Unajua vitu vya mfano huu tunavishuhudia sana kwenye sinema mbalimbali za kijasusi. So it's possible baada ya muda tutasikia kundi flani linajitangaza kuihold. Ila kama sivyo itakuwa imezama very deep.
  4. L

    Toyota progres

    Isikutishe sana kiongoz, ni ndinga makini with high performance kutokana na mfumo wa Direct Injection 4 Stroke (D4). Pia fuel consumption sio ya kutisha kutokana na mfumo wa Variable Valve Timing with Intelligence (VVT-i).
  5. L

    Kuapishwa wabunge leo mtikila itakuwaje?

    Jamani kama kuna aliyeshuhudia uapaji wa mtikila kutokana na msimamo wake kwa kuitetea Tanganyika je atatamka maneno 'mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa tanzania?? Leo comrade ameitambua Jamuhuri tena na kuapa katika jina la Yesu.
Back
Top Bottom