TUTAANDAMANA KUTAFUTA MKATE WETU WA KILA SIKU
Na: MDUKUZI
Nawaza Watanzania walivyo jiamini kuhudhuria mikutano yote yaani mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani, Watanzania sio wanafiki, Watanzania niwakweli na wanaupendo wa dhati, na wanamuheshimu mtu, lakini wanaipenda Sana nchi...
Tumbo GANI mkuu Mimi niko ZANGU island nalima mpunga nani analisha tumbo langu tofauti na mimi mwenywe
Unao
Ushahid mkuu ACHA HUU uzushi MZEE taasis za kimataifa na za NDANI zime prove Kuwa kuna amani na uchaguz wa huru na haki
Watanzania wameamua kuendelea kuwa na haya yafuatayo:- Mambo hamsini tu!
Na:KAWAWA
1. Elimu Bure
2. Barabara
3. Madaraja
4. Meli
5. Uchumi
6. Afya
7. Ndege
8. Viwanja vya Ndege
9. Maji
10. Utatuzi wa kero
11. Upendo kwa wananchi
12. Kutetea haki
13. Kulinda Uhuru wa Wananchi
14. Uzalendo
15...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.