Nape na CCM yake wanatapatapa tu na mambo, ana maanisha nini anaposema mikoa ya kisiasa vyuoni? Mikoa hiyo ni ya CCM tu? au na vyama vya upinzani?
Maana nyie mtu akifanya siasa chuoni ni upinzani tu, lakini akifanya siasa za CCM chuoni huyo haguswi lakini akifanya siasa kwa mtazamo wa siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.