Recent content by luiss

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanaoisaliti CHADEMA ni viongozi

    CHADEMA ndicho chama imara Tanzania. CHADEMA, mkilishinda hili mtaaminika sana tena sana. Ni lengo lilelile la CCM kuhakikisha hakuna chama kinakitoa madarakani. Kuna hela ya CCM inatumika kwa viongozi wa CHADEMA. Hili halitaisha leo, wataendelea sana baada ya kushindwa mengi ya nyuma. Watu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Posho Bungeni: Zitto, Lema katika vita ya maneno

    . Nafikiri hii ni ushindani kati ya Lema na Zito, hasa ikizingatiwa majibizano kati yao yanavyoonyesha kwamba kwa namna moja au nyingine wa kwanza alimlenga mtu ambaye naye amesikia. Nafahamu chadema ndiyo wanaong'ang'ania serikali ipunguze matumizi kule kusiko tija, itachanganya kidogo...
Back
Top Bottom