Recent content by Luis 505

  1. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

    Malaika eti wanasema "wamekumissi" wanataka wakupe green card uungane na mimi huku kabla ya Pasaka.
  2. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akiua huwa anaandamwa na wenge karibu hapa fundi samico nikujuze

    Ukimuua "an innocent person" unakuwa mentally unstable. Acha ubishi ndio maana askari 80% wanatumia Pombe na sigara kupunguza wenge kwa sababu kazi zao ni za kuua na kudhulumu raia. Yule askari aliyejichimbia karibu na kuchonga jeneza lake, unafikiri kapenda?? Lile ni wenge.
  3. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

    Erythrocyte unaona jela za Ulaya??
  4. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

    Sawa my future. Nishafufuka tayari.
  5. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

    Umechelewa kusema. Nishakufa tayari.
  6. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Najiuliza tu, Mkuu wa Mkoa anapata wapi milioni 60 kwa ajili ya michezo?

    TAKUKURU awamu hii hawana meno.
  7. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

    Daaah, basi ngoja nijiue tu kwa maana hakuna jinsi.
  8. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Najiuliza tu, Mkuu wa Mkoa anapata wapi milioni 60 kwa ajili ya michezo?

    Atakuwa amewabana na kuwatisha wafanyabiashara wakubwa wa Tabora. Mara nyingi huwa wanawatumia Polisi kutoa vitisho. "Usipochangia, tutakushughulikia"
  9. Luis 505

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Umeibuka wizi mpya wa gesi za kupikia, baadhi ya wauzaji gesi wanatumia gesi za wateja baada ya hapo wanafunika na kuwauzia pungufu

    Mnakwepa majukumu nyie wala rushwa. Muuza gesi anapaswa kuwa na mizani ya kupimia mtungi kabla ya kuuza kwa mteja. Mnakaguaga nyie?? Mbona watu wa TFDA wanakaguaga maduka ya dawa??
  10. Luis 505

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Umeibuka wizi mpya wa gesi za kupikia, baadhi ya wauzaji gesi wanatumia gesi za wateja baada ya hapo wanafunika na kuwauzia pungufu

    Mbona vituo vya Mafuta mnaenda?? Au kwa vile wale rushwa zao ni kubwa kubwa??
  11. Luis 505

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Umeibuka wizi mpya wa gesi za kupikia, baadhi ya wauzaji gesi wanatumia gesi za wateja baada ya hapo wanafunika na kuwauzia pungufu

    Regulatory Authorities kuanzia TCRA, TRA, EWURA and the likes are full of corrupt officials.
  12. Luis 505

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Umeibuka wizi mpya wa gesi za kupikia, baadhi ya wauzaji gesi wanatumia gesi za wateja baada ya hapo wanafunika na kuwauzia pungufu

    Wala rushwa wa EWURA hawawezi fanyia kazi hili trust me mkuu wangu
Back
Top Bottom