Recent content by Luhende joseph

  1. Luhende joseph

    JamiiForums Tanzania Kipi bora uwe na kitu, ukipoteze? Au bora usiwe nacho kabisa!

    Ni kher kuwa nacho na ukakipoteza kuliko kutokuwa nacho kwa sabab huwa kuna urahs zaid kukipata ulichokipoteza kuliko ambaye hajawah kuwa nacho
  2. Luhende joseph

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina Tsh. Milioni 25, nifanye biashara gani?

    Biashara ni suala gumu sana Sema tunalikimblia tu bila kuelewa we hiyo igawe Mara mbili 12.5 kafungue goli la spea za pikpk maeneo yenye migod ya dhahabu then piga kaz kwa miez 6 utakuwa umeijua biashara yako inapanda au kushuka
  3. Luhende joseph

    JamiiForums Tanzania Vifungashio vya mazao jamii ya kunde

    Habarin Wana-JF, Nahitaji msaada wa kujua ninawezaje kupata vifungashio vinavyokubalika kisheria vya kufangashia mazao jamii ya kunde na kama kuna mashine zinazoweza kubana nahitaji kuanzisha biashara ya kupaki na kusambaza dengu ila nataka niwe na nembo yang maalum so nimeshindwa namna ya...
Back
Top Bottom