Recent content by Luhemba

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kilio kwa Wakulima wa Korosho: Bei elekezi ya msimu huu yatajwa

    Naam nipo Masasi ni mkulima wa korosho
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kilio kwa Wakulima wa Korosho: Bei elekezi ya msimu huu yatajwa

    Hbr ya korosho tuulizeni sisi tunaoishi kunako zao hili sio kuandikaandika mambo usiyoyajua. Hiyo bei elekezi imepanda ukilinganisha na ile ya mwaka jana.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Miaka 50 kumbukumbu ya kifo cha Abdulwahid Sykes

    Ni wakati wake sasa kuiweka historia ya kweli ya Tanzania kwani kimsingi kuna baadhi ya mambo yamefichwa
  4. L

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo kufanya mikutano mikubwa Masasi na Mtwara Mjini leo

    Leo ACT wazalendo wamefanya mkutano mkubwa Masasi na kilichonifurahisha ni kuona namna Zito alivyozungumza kwenye mkutano ule Bila matusi wala kejeli. Alijikita zaidi kwenye hoja na namna ya kutatua matatizo ya wanyonge na walalahoi wa kusini. Kwa hakika tunahitaji viongozi wa karba ya Zito.
Back
Top Bottom