Me ni miongoni mwa wanafunzi tunaopitia adha hiyo jambo ambalo nimekwisha lalamika kwa mkuu wa shule lakini akasema hakuna pesa ya kufanikisha ukarabati hivyo tunapata tabu mvua zinaponyesha mtusaidie kupaza sauti kwa mamlika zinazohusika
Naomba kuwasilisha kero kwa Mamlaka zinazohusika kwani madarasa ya Shule ya Sekondari Teule ya Kigoma Ujiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji yanavuja jambo linalowapa shida Wanafunzi.
Wakati mvua zinaponyesha kunakosekana utulivu wa kusoma kwakuwa kila mahali panakuwa panavuja...
Nitoe wito kwa mamlaka zinazohusika kushugulikia uharibifu uliofanywa na mvua katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, barabara ya kutokea Pasua kuelekea Mahembe iliyosombwa na maji, imesababisha changamoto kwa Watumiaji wa barabara hiyo.
Licha ya kuwa barabara hiyo inatumiwa na magari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.