Recent content by lugano27

  1. L

    JamiiForums Tanzania Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

    Mi akili inanisemesha TM alikuwa BM au Mzee wa vipepeo toka mbeya RIP
  2. L

    JamiiForums Tanzania Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

    Umewaamini polisi kuwa ni toi!? Ila wamesema hata plate number ni binafsi sio SMT. Tujue tu amefichwa ASIYEJULIKANA
  3. L

    JamiiForums Tanzania Situation ya wanafunzi waliokuwa wanapandisha majini shuleni imekaaje?

    Nilikumbuka mwanafunzi wangu mmoja alikuwa hivyo siku nimekasirika nilimpiga biti haswa kuwa another time yataondoka kwa viboko (nilikuwa serious) ila hakuangukaga tena, sipati jibu yaliogopa viboko au alikuwa anatuzuga japo ile nguvu na umri wake, mh!
  4. L

    JamiiForums Tanzania CDF ,IGP, DPP jiandaeni kujibu Aliyeua Watanganyika Oktoba 29 2025 ni nani? Na Nani aliwapa Order ya Kuua Watanganyika Oktoba 29!

    Mi nawaza wanajeshi wanajisikiaje makubwa wao kuitwa wakati wahusika ni wanasiasa na mambo yao ya siasa! Huko mbele wataanza kukata baadhi ya amri (MAELEKEZO)
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maloto: Tanzania inahitaji 'Statesmen', si wakosoaji kama Warioba

    Nami natamani nisaidie ili nijue zaidi. Kuwa statesman unajichagua au unachaguliwa? Warioba eti ni kama ana upande, kwani alivyokuwa anashauri hakuwa anaonekana? Kikwete anasema kama Kuna warioba wangempenda angeshangaa, je hilo ndio lionyesha kuwa matatizo ni warioba au Kikwete. Kwani...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nchimbi bado anaomboleza kufukuzwa kazi

    Huyu ndugu amekosea nini kwa kuandika alichoandika? Baba yake ndio aliacha shida zote hizi aliona madudu ya katiba ila hakufanya lolote, vipi mzigo huu umbebeshe Poppy?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kabla hujatukana Serikali, kwanza elewa Serikali ni nini?

    "Hivi unaamini kama kuna watu tu katika mfumo wamelishwa sumu kiasi kwamba wanaweza kuona umemtukana kiongozi basi wakaamua tu kujichukulia mambo wanelewa zao pombe wakaamua tu acha tule sahani moja na huyu dogo ukajikuta matatizoni na hapo hata hawajatumwa na huyo kiongozi" Tumkate wee, ila ona...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kabla hujatukana Serikali, kwanza elewa Serikali ni nini?

    Huyu mtu kaongea UKWELI haswa! Sijui tutakavyomjibu ila ni wazo linaloweza kuokoa watu wengi dhidi ya kiitwacho 'HASIRA DHIDI YA SERIKALI'. Tuwaze hivi, rais anateua watu mbalimbali na kama anaondoka basi ni kawaida hata wateule wake wengi wanaondoka, vp ikiwa wataona hatari ya anayewateua...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu: Kwa miaka 10 iliyopita, hakuna uchaguzi bora uliofanyika kama wa CHADEMA

    Tujipe muda, tusiwe na haraka. Tunakwenda wapi? Nchi hii itakuwepo miaka mia tatu, mia tano ijayo. Tunatengeneza si tu kwa ajili yetu sisi, ni hao wanaokuja baada yetu.” Kauli ya maana kabisa hii.
  10. L

    JamiiForums Tanzania A weak leader becomes a prisoner of approval

    Sometimes these narratives are nothing if the whole situation remain the same. If you're at the position of knowing many issue, let all know for the actions. Achaneni na hizi mambo za stori stori nchi inazidi kudidimia. Otherwise tukae kimya tu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa wanaosema Makonda anafaa kuwa Makamu wa Rais

    Hatokusikiliza. Ni mtu anayeamini wengine sie ni wajinga flani hivi.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Heche Anakiwasha Sana leo Clouds TV/FM - MSIKILIZENI

    Namaanisha mic.
Back
Top Bottom