Recent content by LUDUBULA

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto kameza gololi

    Kama siyo kubwa sana atainya tu ila Mpe vyakula laini ili kulainisha choo
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Usitake kudanganya watu mimi nilikuwepo na nimechukua na picha , mitambo ya kwanza ilianza kugoma kabla hata mheshimiwa hajatua chini Mpaka anaingia uwanjani haifanyi kazi makamanda wakaenda kukodi gari jingine limefika nalo likagoma pia, Mpaka hapo nimeamini kuwa Ccm mnatumia nguvu za giza...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wana CCM shangilieni kwa raha zenu, ushindi tayari Kwani Kaka kuona leo ametabiri Rais ajaye!

    Anasema kahakikishiwa na mnyama kuwa ccm wanashinda lakini alipoenda mbele kidogo tu akasahau na akasema watu kama watamchagua magufuli watapata hela nyingi je sasa Utabiri gani Umekuwa na " kama.............."?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kauli zinazowapeleka Ikulu viongozi wa CHADEMA/UKAWA!

    Ccm walipodanganywa tu kidogo na kauli hizo wakajiingiza kichwa kichwa, hii ni sawa na kuweka mtego fulani wa panya na ukaweka kipande cha nyama ili panya akija kichwa kichwa ananaswa Viva Ukawa Viva
  5. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    soo sad, sasa nani atatutetea Lushoto? Au ndo mwanzo wa ccm kupita bila kupingwa?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje akifariki mgombea?

    Mnatamani mtu afe ili mpate kupumua? Mtabili wenu aliwadanganya Maana anayejua kifo ni MUNGU tu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Waandishi: Jeshi la Polisi latinga Makao Makuu ya CHADEMA...

    Mwisho wa mabomu ya machozi na risasi za moto ni tarehe 25 tu, naamini serikali itakayoingia madarakani haiwezi kukubali unyama huu kwa raia wake, Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Ukawa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Huu uzi wa uongo, kwanini hauna picha hata moja?
  9. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi

    Msihangaike naye anataka kuhamisha mawazo ya wapenda mabadiriko Viva Roma mkatoriki kwa wimbo wako Viva Lowassa, Viva UKAWA Asanteni sana
  10. L

    JamiiForums Tanzania SUMAYE: Walioficha fedha nje watazirudisha; Magufuli haiingii Ikulu 2015!

    Ukitaka kuichagua ccm tena mwaka huu kabla hujashika karatasi jiulize nyumbani una nini? Familia yako inauhakika na maisha bora? Ndugu na jamaa zako wananufaika na mfumo wa ccm ? Kama jibu lako ni ndiyo Basi ichague tena kaa ni HAPANA acha kabisa usije ukawekeza dhambia ndani ya ukoo wako
  11. L

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    CCM ni kama mgonjwa , wananywesha dawa ya kila aina kujaribu kama itatibu lakini wamechelewa
  12. L

    JamiiForums Tanzania SUMAYE: Walioficha fedha nje watazirudisha; Magufuli haiingii Ikulu 2015!

    SUMAYE: Walioficha fedha nje watazirudisha Naye Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, alisema kama Lowassa atafanikiwa kuingia madarakani Watanzania walioficha fedha nje ya nchi watazirudisha. Kwa mujibu wa Sumaye, fedha hizo ambazo Serikali ya CCM imeshindwa kuzirudisha zitatakiwa kurudi kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mapokezi ya Lowassa Airports akiwa CCM na akiwa CHADEMA

    Magufuli mwisho mlangoni tu ndani ni Lowasaaaa
  14. L

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa atakayekuwa rais mpya wa TZ huu hapa

    Ramli chonganishi hiyo anapaswa kukamatwa huyu mtu
Back
Top Bottom