Recent content by LUDOVIC k

  1. LUDOVIC k

    Nampenda sana huyu

    Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
  2. LUDOVIC k

    Kama unaweza kufahamu kituo Cha redio chochote kinachohitaji angalau muandishi nisaidie

    Tafadhari nimeongeza nyama ili uzi ueleweke so msaada wenu tafadhari👏
  3. LUDOVIC k

    Kama unaweza kufahamu kituo Cha redio chochote kinachohitaji angalau muandishi nisaidie

    Wanajamvi naomba niulete tena uzi wangu cos kama haukueleweka vema sababu Wenda nikukimbizana na nafasi za hapa na pale ili kumuingizia baba jesika kipato chake maana ananipeleka mbio haswaa, twende kwenye point wapendwa wa mungu, Nina ndugu yangu niliamua kumpeleka kozi aliyokuwa anaipenda...
Back
Top Bottom