Recent content by Lucy massunya

  1. L

    Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    I it depends... kila mtu ana changamoto zake... that's why kuna sheria
  2. L

    Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Percent ya mapato ya kila mwezi kutokana na makubaliano yetu
  3. L

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Anaehitaj fridge la size ya kati mlango mmoja nione chap 0655075007... picha inbox
  4. L

    Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Pia someni title mtaelewa zaidi msiwe wepesi wa kucoment kabla ya kuelewa kila kitu kimejieleza, partner/mfadhili/muwekezaji
  5. L

    Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Jamani eeeh salon ni UNISEX means mwanaume au mwanamke wote wanahudumiwa kwenye same salon
  6. L

    Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Yanajitosheleza sema tu wew ndiyo hujaelewa, sina uwezo wa kulipa maenyew ikapatikana the best salon ninayoihitaji coz competition ni kubwa mno kwenye mambo haya... that's why I need someone who we can support each other...
  7. L

    Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Salon ni UNISEX, eneo linatafutwa partner akishapatikana maeneo yapo tu... vifaa vipo kwa upande wa wanawake ila upande wa wanaume bado na hata hivyo vya kike ni vya kuongezwa kidogo...makadirio ni almost 2.5 million, thanks for your sms
  8. L

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina Iphone 6s nauza 250,000 storage ni ndogo 16 njoo kama una uhitaji 0655075007 ni mpya kabisa ina 4 months finger prints inafanya kazi... battery 100% kwa kifupi ina good condition
  9. L

    Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Habari wana forum, Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye... Hali ya ajira ni ngumu...
Back
Top Bottom