Recent content by luckyG

  1. luckyG

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa mazao kwenda katika soko

    ahahahahahahaa filonos nalima sehem moja inaitwa ifakara huku mzee
  2. luckyG

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa mazao kwenda katika soko

    me niko morogoro
  3. luckyG

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa mazao kwenda katika soko

    Habari wanaJF, Naomba mwenye experience na usafirishaji wa mazao kwa kukodi gari ni shiling ngapi mfano toka Morogoro kwenda Dar? Na pia inawezekana kusafirisha mazao kama matikiti fuso nzima mpaka Dar toka Morogoro eneo la Ifakara na yafike salama? Natanguliza shukrani.
  4. luckyG

    JamiiForums Tanzania Soko la matikiti mwezi wa saba linakuaje Dar?

    Habari zenu wana jukwaa mimi naomba mwenye experiences na soko la zao la matikiti mwezi saba au wa nane hua liko vipi hasa kwa miji kama Dar Morogoro au Dodoma. Kwa mwenye kujua naomba msaada wa ufahamu, jibu lako litakua mwanga kwangu ..
Back
Top Bottom