Recent content by lucasv

  1. L

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji Moshi mtaa wa Makutini KCMC

    Wananchi wa mtaa wa Makutini KCMC Moshi tumekuwa na kilio cha muda mrefu kutopata maji inaenda karibu wiki ya tatu sasa. Mamlaka inayohusika imejulishwa juu ya changamoto hii lakini hakuna majibu mpaka sasa. Wananchi wengi tunasaidiwa kupata maji ZEBRA CAR WASH iliyopo jirani na mtaa huo...
Back
Top Bottom