Recent content by Lucas255

  1. Lucas255

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    MAhitajio ya kufika nayo kwa anaye jua
  2. Lucas255

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Tukutane kiwira wakuu
  3. Lucas255

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Mkeka ukitoka tusanuane
  4. Lucas255

    Magereza Tz

    Dah sopowa awa jamaaa wame uweka
  5. Lucas255

    Magereza Tz

    Jaman amna ata mwenye lonja ya magereza wanatoa lin mkeka wa watu kuripoti
  6. Lucas255

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Magereza lini…!
  7. Lucas255

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Hahaaaaa usimdanganye mjomba una cheti cha jkt n bure ktendo… uyo mujibu mwenyw ana hali mbayaa…. Kadet wanepgwa stop wanachukua wakujitoa na s mujibu tena
  8. Lucas255

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Jamani mnao sema cheti cha JKT Kisiwe kigezo kweny hiz sekta za ulinzi unategemea walioenda kujitolea wataajiriwa wap…tofaut nahvyo unatengeneza picha mbaya baadae n bora wakaajiriwa ata wachache itasaidia na bado cheti cha Jkt kitakuwa deal sana kweny ajira serikalin maana jkt kuna wasomi wengi...
  9. Lucas255

    Napenda kufahamu kuhusu ajira za Askari Magereza na idara ya uhamiaji

    Ajira zinawalenga sana vijana waliopita kujitolea na sio mujibu…pia kama ujapgiwa simu jua s bahati yako magereza kil mkoa n watu 16 tu
  10. Lucas255

    Computer ume connect charge but not charging

    Kwahyo n change vyote au Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Lucas255

    Computer ume connect charge but not charging

    Naomba msaada laptop yangu ilikuwa inakaa na chaji fresh sasa juzi usiku nilikuwa naitumia nikaizima kuja iwasha asubuhi naweka charge kweny upande wa betri inachora x the inaandika charge connected but not charging hapo nini shida? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom