Recent content by Lucas Mathias

  1. L

    Hotuba ya Rais Kikwete kwa wananchi - Jan 31, 2013

    Rais Kikwete una maneno mazuri sana,kama mtanzania ambaye alikuwa hajawahi kukusikiliza atajua kweli huyu ni Rais,lakini kwangu mimi hunidanganyi chochote,kama hizi hotuba huwa una andaliwa tu ndipo unakuja kuzisoma bila ya kuzihariri ndiyo maana unandanganywa ila kama na wewe huwa unazisoma...
  2. L

    Walimu wapya wanaosubiria ajira eti wanataka kuandamana!

    Ni kweli haya ni mateso ila cha kufanya serikali ilipaswa kusema ni lini itatoa ajira hizo ili kila mtu ajue cha kufanya,na kama ana mambo mengine mtu akafanya sio kuenderea kukaa bila kujua hatima yake!
  3. L

    Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi yashindwa kulipia Domain(www.moe.go.tz)

    Yetu macho gonja tuone.mwisho wake ni lini?ila ila...........
  4. L

    POST Walimu Ajira mya 2013 mpaka mwezi APRIL.

    Si kweli hata kidogo,maana jana naibu waziri wa elimu ndg Philipo Mulungo alisema kuwa fedha ziko mbioni na ajira ni muda wowote,tatizo la fedha ni za kujikimu ila tayari limekamilika
Back
Top Bottom