kuna magonjwa mengi ambayo hayana dawa - mengine ya mwili na mengine ya kimawazo. Ati majira haya yupo mtu anaamini kuwa eti CHADEMA hawawezi kuandaa na kupata viongozi wake. huyu ni mtu wa ajabu sana na hakuna dawa yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.