Pili ningeomba kupewa zile hotuba zilizokuwa zikitolewa na Radio Tanzania Dar es salam pindi tu baada ya kusomewa taarifa ya habari ziitwazo mazungumuzo baada ya habari zote zikiletwa na Abdul Ngalawa.
Hodi hodi wanajamii! Mimi naonelea ni jambo jema kujiunga nanyi katika jamii hii, naitwa Lucas juma kwa majina, ni Juma Mkristo sio muislamu. Kwetu ni Ruiru katika Kenya. Jukwa hili ningependa lininufaishe kilugha ya Kiswahili na mambo mengine ambayo kwa kidogo naonelea nivema kushughulikia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.