Recent content by lubu-kato

  1. L

    Samia Suluhu Tutajenga Minara ya simu katika kila Kijiji hapa Lindi

    Kwanini mnapoteza muda wakuwasikilza watu hawa?
  2. L

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Huna hoja umekalia kukashifu tu! Unafiki unao wewe kunguru usiyefugika! Kwahiyo kwa akili yako ww ulitaka mtu azikwe kifahari? Itasaidia nn? Ww msibani ulikuwepo? Umetoa rambirambi au domo lako lisolojua kuswaki ndio limeamua kutapika uozo wako huo!
  3. L

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Mleta uzi ulipaswa utupwe kuzimu maana unaharufu ya kuzimu kuzimu vile
  4. L

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Kamanda mtoi! Nakufanananisha che guavara! Hulikua huyumbishwi kwa hoja nyepesi nyepesi,ulikua makini ktk kujenga,kuandaa na kupangilia hoja zako! Mapambano yanaendelea kamanda kunge kuwa na mawasiliano ya huko ulipo tunge kupa taarifa nchi imekombolewa rasmi ili upate kumjuza J.K.NYERERE NA...
  5. L

    Ombi/Wazo: Msaada kwa familia ya Mtoi

    Wazo lako ni zuli sana naliunga mkono asilimia mia! Ila tuwe makini na wakwale wakaiba hii aidea nzuri kabisa wakaenda kujikusanyia pesa kwa njia za panya! Wakajifanya wao ni wanandugu wenye uchungu na mpendwa wetu!
  6. L

    Watumishi wa serikali amkeni msidanganyike na hadaa za magufuli

    Enyi watumishi wa serikali msikubali hizi danganya toto za magufuli jana wakati anazungumza na wanaigunga alidai tatizo la rushwa kwa wafanyakazi linatokana na mshahara mdogo pamoja na kukatwa kodi kubwa! alikua wapi kipindi kile katika bunge la tisa wakati wakina kafululila wanalipigia tatizo...
  7. L

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Kwakweli inauma xana! Nitakukumbuka sana kamanda! Mapambano hayatasimama! dunia tunapita hii n vuta nkuvute! mpaka tuitwae nchi hapo october!
  8. L

    Uchaguzi wa mwaka huu ni kati ya walala hoi na walala hai

    Kwenu wanajamvi! Naufuatilia kwa makini uchaguzi wa mwaka huu! Haya ni mapambano ya walala hoi walio choka kula mlo mmoja kwa siku kama kiboko dhidi ya wale walala hai ambao ndio wapinga mabadiliko! Hawa walala hai walisha jiaminisha kua watawashinda walala hoi hata kwa goli la kuvizia...
  9. L

    Lema anaongea Radio 5 ya Arusha muda huu

    Haja panic ila ni kujaribu kumuweka sawa huyo aliyemuita rais wetu fisadi bila kua na ushahidi na pia kumkumbusha nchi hii imekumbwa na kashfa nyingi tu! Nadhani unazijua
  10. L

    Lema anaongea Radio 5 ya Arusha muda huu

    Twenda mbele rais wa a town! Najua wanafiki wanaozuia mipango yako ya maendeleo watakwama tu! Walioshindwa kupambana watatelemka safari inaendelea! Hii ni vita na adui yetu ana mbinu nyingi katega mabomu ardhini kumaliza waendao mstari wa mbele!
  11. L

    GE2015 UVCCM yamvaa LOWASSA, yakerwa na kauli zake za kutetea wabakaji, wamshangaa SUMAYE

    UVCCM ni moja ya taasisi zilozopoteza mvuto kwa vijana! sababu moja kuu ni kua imekua ikitumika kuandaa watoto wa vigogo kuwa wanyang'anyi badala ya kuandaa viongozi wa baadae. uvccm imebakia kama kijiwe cha wapika majungu na walevi na waganga njaa haina mvuto na ushawishi kwa vijana tangu...
  12. L

    Kamati Kuu ACT-Wazalendo yakutana Double Tree Hotel, Dar - Agosti 15, 2015

    Yuda katika ubora wake! Mungu hamfichi mnafiki!
  13. L

    Kamati Kuu ACT-Wazalendo yakutana Double Tree Hotel, Dar - Agosti 15, 2015

    Yuda eskarioti katika ubora wake! Asante Mungu kwa kuendelea kuumbua wanafiki kama hawa...
  14. L

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    mwaka huu lazima ccm wakae
Back
Top Bottom