Recent content by lubamba

  1. L

    Profesa Kabudi, wananchi wanahitaji katiba mpya zaidi ya unavyodhania. Unajiabisha kudai ipo madhubuti kulinda mipasuko ya kisiasa

    Nakwambia baada ya, sasa bongo zao zimeanza kujaa upya.Washukuru Mungu bila kutoa uamuzi huu wengine wangeshaanza kuokota makopo maana bongo zao zingeshaingia west na south kwenye axis za y na x.
  2. L

    Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mawazo mgando uliyo nayo huko tulishaondoka baba.Mtu aliyekuaminisha nchi hii ni tajiri ndo alikupoteza maana ubongo wako usivyojitahidi kutanuka akakueleza pia kwamba hakuna asiyekopa huku akidai yeye ni tajiri. Pia malalamiko jamii ya kibeberu kumnyima misaada nawe kawaida unapita humo humo...
  3. L

    Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Nahisi nawe hoja unaiinua kisiasa. Ushindwe. Mpo wengi wenye mtizamo wa kipuuzi juu ya uongozi uliopo sasa. Udikiteta wenu umeisha nguvu. Tuinue taifa linalozingatia haki. Hamtaki? Mungu keshaamua na iwe. Tumepitia mengi unanitia uchungu kwa bandiko lako hili. Sent from my SM-A305F using...
  4. L

    Posho za Wizara ya Fedha mwezi Machi, Aprili na Mei

    Uandishi wako tu inaonyesha huna uwezo wa kutambua nzuri au baya.Ningeshangaa kama ungesema kwamba report ya CAG ilikuwa ya kweli. Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  5. L

    Posho za Wizara ya Fedha mwezi Machi, Aprili na Mei

    Rudi ukaisome utajua ni maeneo gani zilikuwa zinachotwa tu, mfano, pale wizara ya maliasili watu walisaini mamilioni ya kupandia mlima na utangazaji fake wa utalii, Tasac watu walikuwa wanajilipa mamilioni ya kikao kila siku nk.Acha tu ndg yangu.Shukuru nyakati hizi takwimu zinaonekana.Hayo...
  6. L

    Posho za Wizara ya Fedha mwezi Machi, Aprili na Mei

    Acheni tu unafiki uso na tija.Unajitokeza kusifia kwa vile naona data zipo peupe.Enzi ya shujaa nani angedieiki kuonyesha wazi kitu kama hiki?Ripoti ya CAG iliyotolewa juzi juzi ukaonyesha mabilioni yaliyopigwa enzo za shujaa mbona hamkushadadia? Acheni uzandiki.Enzi za kuelekea faida tu...
  7. L

    Tathmini ya kazi iendelee: Tuanze na makusanyo ya kodi

    Mlizoezwa uzandiki.Peleka huko uzandiki wako.Hii siyo awamu ya kujipendekeza.Mfuateni huko mkasifie.
  8. L

    Kama Slogan yako ni ya 'Kazi Iendelee' kwanini Wamachinga hawana imani nawe?

    Wakumbushwe pia kuwa utawala wa sheria ni Bora kuliko kila mtu akiamka anapanga ya kwake.Hii nchi ilishenda ulimwengu mwingine.Mfano sheria imetungwa na bunge kwamba mtu kuendesha chombo cha moto ni lazima awe na learning.Sasa waendesha pkpk wengi ni wavunja sheria , maajabu wabunge hao hao...
  9. L

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina awaumbua wanaotaka kufuta "Legacy" ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Nchi hii watu wanaokula kupitia siasa wametugeuza kuwa wajinga na inawezekana wakatuchukulia hivo kutokana na kuwapigia kura wakati sifa za kuwa viongozi Hawana.Huyu si ndiye aliyechopoa samaki kwenye masufuria ya mgahawa wa bunge na kuwapima urefu.
  10. L

    Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

    Mm nafikiri kuna tatizo hapa, aliyewakilisha ripoti ya wizi ni Mbowe au CAG? Kama ripoti ni ya uongo au tafsiri yake ina lengo la kuichafua serkali huyu si ndiye mwajiriwa wa serkali hiyo hiyo anayoitolea taarifa za wizi? Sasa hapa Mbowe anahusikaje? Namalizia kusema haya kwa hili analotueleza...
  11. L

    Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

    Ndo unaulizwa hivyo! Unaamini fubu la Olivia lilikuwa la Adamu.Endeleeni kuwasikia janabi wa uongo ambao Mungu hajawatuma kusema maneno wanayodai ni maono kutoka kwake."MTAISHA" Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  12. L

    Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Hili taifa hili.Nn kimetukumba? Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  13. L

    Kwa mchezo unaoendelea CHADEMA, hamtakiwi kuaminiana. Kuna mtu atatolewa kafara

    Boss, mbona ngumi zite kwa chadema tu wakati kuna clips zinasambaa mtifuanowa video na majeruhi wa ACT wazalendo.Mbona hofu inatanda hv?, Serkali si itoe tamko juu ya ulinzi wa hawa mnaodai wanna taarifa za kupika?
Back
Top Bottom