Kama Mungu mwenyewe akasema alimpa mwanaume msaidizi mm nan hata nipinge ,mwanamume ndio kiongozi mtafutaji na mzalishaji na mm ni muhudumu haipingiki na Mungu anisaidie nisiache majukumu yangu
Sisi wanawake hatupendanagi hiyo ni nature mama ni mtu muhimu na mke pia angalia jinsi gani ya kuwahudumia pasipo kusikiliza maneno kutoka kwa yeyote mama ana nafas yake na mke ana nafas yake
Hujui unataka nn kwahyo mtu kukuonyesha upendo imekua keroo? Hata mtume alisema tuitane majina mazuri mazuri ya kimahaba kama laaziz,mahabuba na mengine mengi mazuri hivo tulia baba mtuu
Hilo la kwenda kwa washenga nimeshajaribu kwenda hafiki akipewa wito ,nakaa chini namuuliza kwa upendo tatzo lipo wapi ili nijue hasemi akiamua kununa mwaka mzima ni ananuna sasa mzima mwenye watoto akiamua kununia mpaka watoto wake kweli hapo kuna usalama c lazima uhisi huyu mtu ana matatzo
Sijawahi mpa trauma yoyote angekubali nae kujieleza ingekua poa ila ndio hivo haiwezekani kuna mdau alitoa hoja ya kua alikosa malezi yenye upendo utotoni hii imenijengea kujua tatzo lipo wapi ni kweli kabisa kwa historia yake alilelewa kwa manyanyaso sana mpaka kukua kwake hakuwahi kupata...
Sijasema namfungulia shauri mahali popote ,sina mahusiano nje sijamnyima tendo ila ni yeye ndio kaninyima na mm sioni haja ya kumlazimisha mtu kitu asichokitaka
Hakuna kitu kama hicho unachofikiria wanaume hijikuta wajuaji hata mkikosea hamjui mmekosea hamtaki kuambiwa ukweli sina chochote cha kumpita yy buana mkubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.