Recent content by LoyalTzCitizen

  1. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Profesa Mweusi wa Kwanza Chuo Kikuu Cha Cambridge, Uingereza Ajiuzulu kwa Kashfa ya Udanganyifu wa Kitaaluma (Plagiarism)

    Sio profesa mweusi wa kwanza, bali ni profesa kijana mwusi wa kwanza. Maprofesa weusi wapo Cambridge wengi tu.
  2. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania John Heche: AFCON na FIFA waliitenga S.Africa sasa ni zamu ya Tanzania

    Bado kuna sehemu fikra zako zimekwama unahitaji a jump start leads on to jump start it back on. Ni hivi Wanasiasa wa upinzani wapo ktk wakati mgumu sana unaoambatana na kuminywa kwa haki za kibinadamu kinyume na katiba ya nchi yetu na hata kimataifa (sina haja ya kuziambatanisha kama wewe ni...
  3. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Fr Kitima: Unataka uridhiane na nani na hujakiri kosa?

    Hebu soma hapo juu umeandika nini!? Unajaribu kujustify ujinga, huoni kuwa mpumbavu ni yule ambaye ameingia madarakani bila ridhaa ya wananchi?I repeat, wacheni utoto na kiburi.
  4. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Fr Kitima: Unataka uridhiane na nani na hujakiri kosa?

    unawezaje kuthubutu kupima uhalifu na adhabu ya kifo, hiyo ni sheria ya wapi? Wacha kujitoa ubongo. Katafute nchi yako inayoua wananchi wake kwa sababu ya uhalifu wa kuharibu mali na miundo mbinu. Sio TZ, hii sio nchi ya kigaidi. Ufike wakati sasa wakiri makosa ili tu move on, wacheni utoto na...
  5. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Utasemaje tupo vizuri kisiasa wakati hujawajibika kwa mauaji ya October 29

    You do not sound normal at all, so sick and probably mentally retarded. Je wewe ni gaidi? Wafurahia wanaotafuta haki zao wauliwe kinyama?
  6. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Binti mwenye miaka 16 amuua mama yake mzazi kisa kuzuiliwa kwenda kwenye birthday party

    Watu wa Msoga ni janga la taifa, kuanzia vijana mpaka mababu zao, huwa wana roho mbaya sana wakwere.
  7. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Maandamano yakiitishwa siku ya Ufunguzi wa AFCON mtafanyaje, tatueni kero kabla ya aibu

    Mficha maradhi, kifo humuumbua. Yetu macho na waache washupaze shingo, ni hulka yetu waTZ kufunika kombe. Ila yajayo yanafurahisha sanaaaa. Let's see who will have the last laugh.
  8. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi: Wamiliki 932 wa viwanja na mashamba walikiuka masharti ya umiliki, Hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa

    Wanataka kuanza kupora mashamba na nyumba za watu kwa sababu ya kufeli kwa serikali yenyewe. Hii serikali batili ya kifisadi ipo ktk wakati mgumu sana.
  9. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Mswada WA Sharia ya Uhusiano Kati ya US na Tanzania

    Ktk huo mswada ni kipi wewe mwenzetu umeona kuwa sio cha kweli!?
  10. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo?

    Clown alley. Mbinu zinafanana na Mwigulu hizi.
  11. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Samia ni Mama, hakuwaua watoto wenu. Mungu huwachukua watu sugu wa aina flani kwa njia flani

    It is not whose fault!? You and the lady in question are both wicked creatures.
  12. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa ni kirusi kwa demokrasia, imechangia vurugu za Oktoba 29

    Ndio maana nasema unatia kinyaa, haya ni mkumbo gani ambao naufuata. Umepoteza muelekeo sababu ya uchawa, hata hujui nini unaandika. Wajinga kama nyie ndio mmeliingiza hili taifa hapa tulipo.
  13. LoyalTzCitizen

    JamiiForums Tanzania Sugu na Nshala wadhibitiwe kwa kuhamasisha matusi

    Wewe ndio unifahamishe maana umekinzana na maandishi yangu yanayodadisi mada chokozi, sasa umeandika kuhusu masuala ya kutusi ukimaanisha hapo kuna vinasaba vya matusi. Sasa labda utuambie tusi maana yake ni nini!? Na lipi lilikuwa ni tusi kwa mtazamo na ufahamu wako.
Back
Top Bottom