Habari za leo wanajamii.
Kati ya post zangu za hapo nyuma niliongelea application niliyotengeneza ya kuondoa sauti za waigizaji kwenye movie za netflix ili niweze kuweka sauti za kiswahili.
Kwa ufupi natafsiri movie kama wanavyofanya kwenye tv ila niuze mtaani. Tayari nimemaliza kufanya...
Kwa kuwa serikali yetu imeonesha kutowasumbua wale wanaotafsiri sasa hivi kama kina Dj Mark na hata tangu enzi za Mkandala Rufufu, naona haitoleta shida kwani ni nafasi ya vijana wengi walio na mtaji mdogo kujiajiri kwa kuuza hizi movie mtaani.
Wote wanaouza movie zilizotafsiriwa kariakoo na...
Habari wanajamii.
Mwaka jana mwezi wa Desemba nilikuwa naangalia filamu iliyotafsiriwa na Ahmada Abdulrahman maarufu kama Dj Mark nikajiuliza inashindikana nini kuingiza sauti za Kiswahili kama wanavyofanya Azam tv kwenye tamthilia zao kama Sultan, Jamai raja na Kufli. Jibu ni kwamba gharama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.