Mosha ametumia mamilioni hadi sasa mabango kila kona sijui kama anafadhahiri watu Wa Moshi na upinzani...
Kuna haja yakujifunza kwa vitendo swala hili... Ukifika Moshi mabango karibu yote ni chagua makufuli na Mosha.. Watu Wa Moshi wanajua maana ya mabadiliko ni lowasa na jaffar mwaka huuu...
Lowasa si msafi wasafi ni malaika na watakatifu tu..
Ikiwa hoja ni Richmond vipi kuhusu kagoda mnasemaje kuhusu epa escrow na nyinginezo? Ewe mfarisayo ondoa kwanza vibanzi vilivyo kwenye chama chenu cha ccm kisha ndipo mpate nguvu yakuzungumza ya ukawa... Lowasa mbele kwa mbele....
Wana Jf... Kwa sasa tayari tumeshakimbia misri kwa farao tupo njiani tunaekeea kanaani... Ni nani wakutushawishi tusitishe agano letu.. Hata kukiwa gharika gani na mawimbi ya aina gani daima lowaasa mbele kwa mbele... Mimi si nyumba yangu tu Bali kila atakayeinua kinywa dhidi ya lowasa...
Kuwa mbunifu na kuwa tayari kukubali ukweli Lowasa anastahili kuwa rais Wa nchi hii... Hoja ya kipuuzi ya dk 10 si sahihi maana kampeni hazijaanza subiri kampeni zikianza uone moto wake na ukasimulie makada wenzio.....
LOWASA, LOWASA, LOWASA ndivyo ninavyoweza kusema maana nilikuwa naye ccm ametoka na nimefuatana naye mpaka kieleweke.... Ninaamini bado ana kura nyingi sana kwa wana ccm wenyewe ambao bado hawajaingia rasmi njia kuu... Huyo ndiye Tumaini letu na ndilo chaguo letu....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.