Recent content by LOVINTAH GYM

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    leo kuna mtu alikuwa anaelezea kuhusu semen retention, embu try it out pia, i think it might be a good start kwako.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

    sio aibu tu kwasababu kasababishia huyo mwanaume apelekwe jela na kifo cha mwanaye
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tanga kweli ndiko mapenzi yalikozaliwa, ushuhuda wangu huu hapa

    Mapenzı uchafu ukıanza kuwaza hygiene wajanja watakuzıdı kete
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hatari za kuchelewa kuoa

    una point, sema no one knows tomorror, kuna walio oa hawana kitu na mafanikio yakaja baada ya ndoa na kuna ambao walioa wana kila kitu na umasikini ukawafata. Japo ndoa ni baraka , na mbingu hushangilia pale watu wanapooana.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hatari za kuchelewa kuoa

    life expectancy ya mtanzania ni miaka mingapi vile?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

    unamfata, kuna ma bus kibao, ukamua hautashindwa
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tanga kweli ndiko mapenzi yalikozaliwa, ushuhuda wangu huu hapa

    je kama amefanya na mtu mmoja?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tanga kweli ndiko mapenzi yalikozaliwa, ushuhuda wangu huu hapa

    ikhlas wanakukomaza huku hapakufai
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tanga kweli ndiko mapenzi yalikozaliwa, ushuhuda wangu huu hapa

    Ngoswe kitovu cha uzembe
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Watu wengi wanafanya kejeri ila mkuu, i am trying to fit in your shoes mwanangu sio poa, Mungu tu anusuru, ila Mpigie huyu mzee, anauza dawa za kisuni naamini ana uwezo wa kukusaidia +255685919190 pia kuna huyu kama physiotherapist 0682549979. Kuna mshikaji yan story zinaendana kama yako, ili m...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    wanawake wengi ni waelewa sema hofu yao ni ile ile kuwa ukifanikiwa tu unamuona hafai unaanza chakata ulizokuwa unazi admire
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Upo vizuri mkuu, embu jaribu maombi pia
  13. L

    JamiiForums Tanzania Sikujua kuwa style yake yakufika kileleni ni kulowanisha godoro

    sema kuna swali la msingi watu hawajauliza? je wewe uliji feel vipi? au ndio ilikuwa turn off? anautofauti na wanawake wengine uliowai kuwa nao? kama uliogopa kwanini ulienda kulala naye? au ulikuwa curious kuona vyote hivyo?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Sikujua kuwa style yake yakufika kileleni ni kulowanisha godoro

    akifika wananyanduana tu hamna maswali
Back
Top Bottom