Jamani nisaidieni walimu wenzangu. Mimi naitwa Beatrice Mollel, nilishawahi kufundisha ktk wilaya ya Kwimba. Kutokana na sababu zilizokuwa juu ya uwezo wangu nilisimama kazi kwa muda. Mwaka jana nikaomba ajira upya na kupangiwa wilaya ya Hai, nikafanya kazi kwa muda wa miezi 6 bila mshahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.