Recent content by love life live life

 1. love life live life

  Dr. Nchimbi, the era of President Samia has began

  Leo haumtishi pole pole.
 2. love life live life

  Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku

  Uko sahihi kama uko nje ya bongo. Tanzania kipimo chetu cha elimu ni kuwa na maisha mazuri sishangai wanazuoni kukipimbilia siasa huko ndio kunapesa. Otherwise uko sahihi.
 3. love life live life

  Polepole Nakupa Onyo

  Polepole, anaongea wazi wazi sio wewe umejificha nyuma ya keyboard. Na kama kufa kila mtu atakufa, kama wewe ndio sababu ya kifo chake utafanikiwa ila usitishe watu.
 4. love life live life

  Hili hapana, Hayati Magufuli anasingiziwa

  Speed yake ni kali sana Gesi, bando, tozo, mbolea, mafuta, vifaa vya ujenzi mwambie apunguze tutafika tumechoka sanaaa...
 5. love life live life

  Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku

  Wabongo bhana, hawaelewi hata umhimu wa elimu. Kama kipimo cha elimu ni kufanikiwa(kuwa na pesa) katika maisha. kama wazazi wanavyotarajia pindi wanapowapeleka watoto wao shule basi msukuma anastahili phd. Tuacheni janja janja elimu ni mafanikio katika maisha sio zaidi(kukalili vitini kama flan)
 6. love life live life

  Bill Gates had a video game created for microsoft windows called ‘omikron’

  Hilo gemu la bill gate umelielewa? Acha uzwazwa wewe. Issue ni uhusiano wa hilo game na hili jina la sasa.
 7. love life live life

  Hao watu inaonekana ni watu wenye nguvu sana

  Hiyo ni hatar zaidi kwake. ukitaka kujua uwezo wa paka "mpige ukiwa umemfungia ndani ya chumba".
 8. love life live life

  Ufisadi umetokea awamu zilizopita wakati mkataba umesainiwa June, 15, 2021?

  Awamu ya nne nani alikuwa waziri wa ujenzi?
 9. love life live life

  Njia panda ya Rais Samia

  Hiyo itakuwa nzuri
 10. love life live life

  Njia panda ya Rais Samia

  " Urais sio lelemama" Urais sio NGO
 11. love life live life

  Njia panda ya Rais Samia

  Inabidi awatoe wote ili awe hana kisingizio.
 12. love life live life

  Njia panda ya Rais Samia

  Sukuma gang wanamtesa sana hajui awatose au aishi nao kwa akili.
 13. love life live life

  Njia panda ya Rais Samia

  Bado hajaweza kuwatambua maadui zake likija suala la ufisadi.
Top Bottom