mimi nilikamilisha kila kitu...nikapeleka fomu PPF since mwezi wa 10 mwaka jana hadi leo ninazungushwa tu, wanasema kuwa cwez kujitoa bali wanaweza kutransfer hizo hela zangu NSSF ambako nipo sasa kwa mwajiri mpya...Mwajiri wa zamani (TBL) nilikuwa nachangia kupitia PPF. Cjui kama inawezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.