Recent content by losiraa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusiana mkanganyiko wa majibu ya kipimo cha OGD na Barrium swallow

    Ni hospital ya rufaa kabisa ndugu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusiana mkanganyiko wa majibu ya kipimo cha OGD na Barrium swallow

    wataalamu naomba ushauri wenu,nilifanyiwa kipomo cha OGD kama mara mbili ikaonekana ninashida ya Slide hiatus hernia with Gerd, then nikawa recommend kufanya Barrium Swallow kabla ya operation. Kilinachonipa maswali ni kuwa 2 OGD hernia inaonekana lakini BARRIUM SWALLOW wanasema hakuna sasa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya upasuaji wa hernia ya kifua anisaidie

    Asante sana ndugu yangu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya upasuaji wa hernia ya kifua anisaidie

    Ndugu zangu naomba msaada kwa wenye uzoefu wa changamoto hii
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya upasuaji wa hernia ya kifua anisaidie

    Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya upasuaji wa hernia ya kifua anisaidie. Pia hospital ya uhakika wanayoweza kufanya huo upasuaji
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la sliding Hiatal Hernia with GERD

    Asante sana
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la sliding Hiatal Hernia with GERD

    Asante saan
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la sliding Hiatal Hernia with GERD

    Asante sana
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la sliding Hiatal Hernia with GERD

    Kuna article hapo juu imeeleza kwa kirefu mkuu,hebu jaribu kuipitia
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la sliding Hiatal Hernia with GERD

    Asidi inakuwa nyingi sana tumboni 1.kiungulia kikali 2.tumbo kujaa gasi 3.maumivu makali ya kifua 4.kukosa hamu ya kula 5.kutapika Na kujisikia vibaya kwa ujumla
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la sliding Hiatal Hernia with GERD

    Asante sana kwa ushauri wako,najitahidi sana kufuata masharti japo ni magumu ila nimeamua kuyafuata, namuomba Mungu anisaidie
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la sliding Hiatal Hernia with GERD

    Nashukuru sana kwa ushauri ndugu yangu, Daktari aliyefanya kipimo alisema stage ya hiyo hernia sio kubwa ni ya kutibu na dawa haihitaji operation. GERD ndio ipo hatua ya pili japo pia alisema nitumie dawa. Najiuliza kama nikibadili life styele na kutumia dawa Hali ikatulia bado kutakuwa na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la sliding Hiatal Hernia with GERD

    Habari za jioni ndugu wadau, Nahitaji msaada na ushauri wenu kuhusiana na tatizo langu kama nilivyoandika. Nimekuwa nikisumbuliwa na dalili kama za vidonda kwa muda mrefu, lakini leo nilipopimwa daktari akanifahamisha kuwa nasumbuliwa na tatizo la sliding hiatal Hernia with GED, Jambo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kozi nzuri ya Masters

    Jaribu kufanya utafiti katika chuo cha Nelson Mandela Arusha,kuna baadhi ya walimu Wa science wamepata ufadhili Wa masomo huko kwa kozi zenu za science
Back
Top Bottom