Recent content by Lorris

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iwekeze kwenye ujenzi wa barabara za kiwango cha lami

    Wadau Mimi nilikua nawazo kwa Serikali kuhusu miundombinu ya Barabara Nchini. Barabara ndio kila kitu kwa mwananchi Ili afike pale anapotaka kufanya shughuli zake. Wazo langu nikuwa Serikali inatakiwa iangalie sehemu zenye watu wengi au makazi waweke Barabara zenye kiwango cha Lami Ili...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kero: TANESCO Mtwara wanakata kata umeme ovyo!

    Khaaa ni htr!!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kero: TANESCO Mtwara wanakata kata umeme ovyo!

    Kwakweli yaan arudishwe tu!! Maana umeme ulikua ukikatika taarifa mnayo sio saiv kero tupu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kero: TANESCO Mtwara wanakata kata umeme ovyo!

    Yan gesi yenyew bei kuliko hata za mikoa mingine.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kero: TANESCO Mtwara wanakata kata umeme ovyo!

    Mtwara mjini umeme unakatika hovyo bila taarifa yoyote. Ni siku ya nne sasa toka huu mchezo uanze kufanyika. Tunateseka, baadhi ya vifaa vyetu vinavyotegemea umeme vinaharibika kwa kupata shoti kisa ya umeme kukatika hovyo hovyo. Umeme ukirudi haukai hata unakatwa tena. Tunashindwa kufanya...
Back
Top Bottom