Ni ushauri tu tengeneza mfumo ambao utaendesha biashara na huo mfumo ufuate internal control hii itakusaidia maana kwa Dunia ya sasa ikisema umtegemee individual itakupa shida kufika malengo ya ndoto yake.
loans Officer mzoefu ummlipe 300k-400k kwel ni unatania Yani hiyo amount ni kwa Junior loans Officer Tena yko probation kwenye industry ya mikopo hicho kiasi ulichokiweka utapigwa ndugu
Habari ya muda wanajamii,niende Moja kwa Moja kwenye lengo tajwa hapo juu.mimi ninaujuzi kwenye kampuni zinazotoa mikopo midogo na ya kati(Small and medium sized loans).I offer my services in three different angles:
1.Finance and Accounting.
All works concerning accounting and Finance i.e...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.