Recent content by lord commander

  1. lord commander

    Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Mzee kama huna point ya kuchangia jitahidi kutafuta usingizi ulale.
  2. lord commander

    Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
  3. lord commander

    Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini

    Hapo umezungumzia kazi za watu wa makundi mawili, waajiriwa na vibarua. Waajiriwa ni POLISI, na WAALIMU. Hawa sasa ndio ujumbe huu unawahusu kwa asilimia kubwa. Lakini hao wengine ni vibarua ambao wanaweza wakawa wanafanya hiyo kazi kwaajili tu ya kupata mtaji kisha wanaweza kuacha. Na pia...
  4. lord commander

    Msaada wa ushauri kuhusu stationery

    Ushauri wako naufanyia kazi kiongozi
  5. lord commander

    Msaada wa ushauri kuhusu stationery

    Bei ya hii mashine ni kubwa sana kwa sasa sitaimudu
  6. lord commander

    Msaada wa ushauri kuhusu stationery

    Location ni karibu na chuo mkuu, tena ni usoni kabisa
  7. lord commander

    Msaada wa ushauri kuhusu stationery

    Wajuvi habari zenu? Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary. Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine. Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo...
  8. lord commander

    Mitandaoni sio sehemu ya kujibizana na kila mtu

    Duuh aisee, watu hamkubali kushindwa
  9. lord commander

    Mitandaoni sio sehemu ya kujibizana na kila mtu

    This is so sure, ila kuna watu wana masikio ya chuma, hawabadiliki. Hivi ushawahi kutana na choicevariable kweli?
  10. lord commander

    Mitandaoni sio sehemu ya kujibizana na kila mtu

    Katika miaka kadhaa ambayo watanzania tumeizoea mitandao basi tunakutana na watu mbalimbali katika posts zao ama comments ambazo ukizisoma unaweza patwa na hasira kwa jinsi alivyoandika upuuzi. 1.Kuna hawa wanaoandika kuhusu siasa, kuunga mkono juhudi, kutukana wapinzani, kusifia mambo...
  11. lord commander

    Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

    Aliyemaliza kusoma uzi wote aelezee kwa ufupi 🚮🚮🚮
Back
Top Bottom