Recent content by LORD ASHBURTON

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Soma Ibara ya 57 (f) ya Katiba
  2. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Dr. Slaa hajawi tumia neno "Mkome"huyo ni Mushumbusi believe me
  3. L

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli kuhusu Dr. Slaa

    Wakuu salaam sana. Ziko habari za uzushi kuhusu Katibu Mkuu Dk. Slaa, zinaandikwa na kuenezwa na Gazeti la Raia Tanzania kwa siku kadhaa mfululizo sasa. Uongo huo wa Raia Tanzania leo umeendelea kwa kiwango cha juu zaidi kiasi cha gazeti hilo kuandika kuwa eti Katibu Mkuu Dk. Slaa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa amtaka Zitto UKAWA

    Lowasa in da house meeen
  5. L

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wanasheria wa Tanzania(TLS) ni dhaifu sana ukilinganisha Kenya na Uganda

    Nimekuwa ni nikifuatilia sana kwa makini mwenendo wa Chama cha wanasheria Tanzania( Tanganyika Law society) nimegundua kuwa ni chama dhaifu sana hapa nchini tofauti na Kenya na Uganda. Hoja yangu juu ya udhaifu wa chama hiki ni namna suala la mchakato wa Katiba ulivyopita mpaka hatua ya kura ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Mnapata wap muda wa kwenda kupiga menu kwa Lowasa hamjapata boom au
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Yaani kwa ulicho kiongea tu hapo juu ni mweupe maana huji hata namna gani mtu anakuwa wakili. Udom ni shida
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    punguzeni njaa mkuu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Mkuu "to hell" au to heal? Utakuwa na wewe umesoma udom Mkuu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Hahahaha dah! Hatari sana kwaiyo vice chancelor wa Udsm ana control na Udom dah! we jamaa kilaza ni hatari jaman hivi unaweza kudanganya humu jambo kama hilo?.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Nikisoma kwa makini bandiko lako ninapata picha kuwa umesoma Udom bila ubishi. Nitajie noble proffessional tatu tu hapa dunian kama utakosa sheria acha ujinga. Ndiyo tatizo la kusoma Udom yaan hamfikirii kabisa
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Sasa ndugu yangu kumbe wewe ni mwalimu uliyeosoma udom ni shida sana mkuu. MI wakili nipo mjin mkuu.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    nawasadia watuhumiwa watoke mahabusu mkuu karibu pale life house utanikuta.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Udom chuo chuo cha watu wenye IQ ndogo sana
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Anawavumilia tu
Back
Top Bottom