Recent content by Lor-Bimbe

  1. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Aibu UDSM kiajiri wahitimu isiwalipe

    Ndugu Mtoa Mada, Hebu fuatilia vizuri. Ninachofahamu ni kwamba utaratibu wa kubakiza wahitimu waliofanya vizuri ulishaachwa katika vyuo vya umma. Siku hizi ajira zote za vyuo vikuu vya umma zinatangazwa kwa uwazi na Mtanzania yeyote mwenye sifa anaomba. Baada ya maombi kupokelewa panakuwa na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

    Huu ni upande mmoja wa shilingi. Lawama za wapangaji kwa wenye nyumba. Natamani wenye nyumba nao waseme ili tusikie kadhia wanazopata kwa wapangaji wao. Hapo ndipo habari itakuwa kwenye mizani sawa.
Back
Top Bottom