Mkuu mshana nakusalimu sana, kuna jambo moja la kiroho nilihitaji kukushirikisha ila nimekuta umefunga PM, nilishawahi kuliandika humu ila sikupata majibu sahihi ya namna ya kulitatua, unaweza kunisadia nikaku PM na kukushirkisha, natanguliza shukran
Nature ya hizi kazi skuizi mpaka inanifikia mimi naifanya ujue kuna aliyechukua tenda na akapata percent yake, kuna anayepewa aifanye na yeye anakata percent yake mwishowe inanifikia mimi, inapita zaidi ya mikono mi 3 au mi4 na kila mtu as long as imepita kwenye mikono yake basi anachojali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.