Ufisadi ni zao la ccm na maraisi wake kama 2 walopita, na pia huyu ambaye anaomba ridhaa ya wananchi. Ufisadi si kupiga kelele jukwaani, ufisadi ni vitendo, na kama magufuli ataanza na mheshimiwa ambaye yuko sasa madarakani, ndo nitajua anapambana na ufisadi, otherwise ni bla bla tulizooea
Huyu mama mjanja, ameona hapa dinga ilipofikia haiwezi rudi nyuma, ameona kama noma iwe noma tu. Hahaha, kutachimbika, ila nina wasiwasikesho umeme tanzania mzima hautakuwepo
Huu ni upuuzi mtupu kawaambie wanaccm wezako. Pambaneni hukohuko ndwni ya ccm msituhusishe wana ukawa. Hayo hayatuhusu. Cha msingi hela zirudi na watu wawajibishe na si kufukuzwa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.