Pole sana mkuu, mwaka jana nlipitia situation kama yako. Yaan nlimpenda dem had wanawake wengine nikawa nawaona kama wanaume wenzangu tu, no feelings. Akaja kunipiga chini bhana, nikawa nkilala naweweseka namuota🤣🤣. Ilinichukua almost mwezi mzima kuanza kupona, nlianza kujikeep bize kuliko...
Hii ilinitokea soon baada ya kumaliza chuo akaenda kwa LECTURER mi nikaachwa, katumiwa huko baada ya kuwa dumped anarudi ku-apologize. Na amenikuta siishi kinyonge kama before. NEVER BACK OFF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.