huyu jamaa kakurupuka vibaya utadhan alikuwa msalan akashtuliwa katoka hata hajanawa. kaja kaandika mambo ya kipumbavu kabisa. mods hoja kama hiz muwe mnaziban maana ni za kipumbavu hazina hata ufikiriaj wa kina. takataka kabisa haifai hata kwa mbolea au recycling
idawa nashukuru kwa kujaribu kumwelewesha huyu ndugu. maana naona amejitoa akili au amejawa upumbavu. kwanza angepaswa kujua kuwa hiyo ni wizara ya uchukuzi. watu badala ya kuchukua mizigo wanachukua madawa. pil hata kama isingekuwa wizara yake kama wazir mhusika amelala then afanye kaz
mimi si mkatoriki na mkristo nmesoma shule za kikatorik na serikal. sijawah ona ubaguz.nina rafik wa dini zote ambao wameelimika hatujapata kubaguana. usilete hoja za itikadi mbov mbovu za kilalamish. si wengne tunajiamini
umenena vyema sana. JK kaiharib heshima ya urais sasa kila mtu anadhan anaweza kuwa rais. nashangaa na najisikia aibu wanaposema january makamba anataka kugombea. ni aibu hata kupinga nabak natizama tu.mbona watanzania mmekuwa so cheap kias hiki?
umenena vyema. tumwache dr mwak afanye kaz na kama anatafuta sifa bas ni vyema viongoz wote watafute sifa kwa njia hii ya uchapakaz. watu wanapinga kila kitu kwa sabab za kisiasa na kiuchumi
tatizo lenu ni kila jambo mnapoleta itikadi za vyama vyenu.so ulitaka amwachie yule mdogo asubir mpaka mkubwa? mpaka leo hujajua kuwa ni samaki mdogo hutumika kukamata samak mkubwa? wewe unamfaham nan muuza madawa ya kulevya upeleke jina lake na ushahid tuone nin kinafanyika.nyie watu gan hamna...
huyu kambaya huwa anakurupuka sana. yaan mpaka unahoji elimu yake ikoje?yaan huwa anaZid kuharib kwa matamsh yake.maana hapa anaongea kumtetea JK Kana kwamba yeye ndo msemaj wa CCM au JK .mi ameniacha hoi sana. huyu jamaa ana elimu gani? ya wapi? anafanya kaz gan? mwenyej wa wap? hawez kuwa...
umenena vyema watu ni wanafiki na jambo la ponda wanataka kulifanya kisiasa. mi mpaka nawachukia wtanzania. watakuwa wapumbavu,wanafiki na ndumilakuwil mpaka lini?
huyu shabani sijui darasa la saba la uhuru ? maana hata darasa la saba la mkoloni wanajua kuandika. anaandka kiswahili kibovu hakielewek.labda atumie kiarabu.maana anaandika kitu ambacho anakielewa yeye tu basi angalau awe anaomba watu wamwandikie. mkiambiwa mkasome hamtak mnakalia tu kutaka...
Lipumba...huyu bwana pamoja na usomi wake but huwa anaongea PUMBA sana. mi siwez kabisa kukaa kumsikiliza LIPUMBa anaongea utadhan mdomon amejaza mate. huwa anakurupuka kutafuta pa kuanzia siku zote. ametoa tamko kwa kuwa anataka sympath toka kwa waislamu mbna hakutoa tamko alipouawa padri?
dhambi mbaya sana ni hii yako ya uoga. hapa umeonesha upumbavu ashakum si matusi. kwan nawe ilikuwa lazima uchangie kama huna cha kuchangia?mbona yu re so hopeless kias hcho? wa wap wewe? maana huwez kuwa mkristo at all. unaandika kama mtoto mdogo tena wa kike ambaye hukuwa umelelewa ktk mising...
acha ujinga wewe...nani kawatupia hayo waafrika? na nyie mmekaa kuyadaka? ujinga wenu then mkae kulaumu mataifa yanayoendelea? huo si upumbavu wa waafrika.mtabak kulaumu wenzenu wanaendelea mbele. kuwa mwafrika na kuwa na waafrika walalish is a disgrace kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.