Chakale ni chakavu. Nakama ni chakavu kikalibu na kutoweka. Kwa kipindi ambacho mh mbowe amekiongoza chama nadhani kwa sasa Nimuda muafaka wakukabizi kijiti kwa Lissu au Heche
Siyo dhambi mbowe akibaki kama mshauri wa chama. Kama ambavyo chadema wanatamani kushika dora vifvyo hivyo watanzania...
Mkuu upo Sawa hii siyo tetesi ukweli unajionyesha kule x zamani Twitter machawa wote wa mbowe hakuna hata mmoja anaye posti mikutano ya Lissu zaidi ya waugwana wachache tu
Ambao ukiwatizama misimamo yao nizaihili wao ni waumini wa demokrasia ndio pekee wanao msapoti lisu na kuposti mikutano yake
Mkuu upo Sawa kabisa alafu kuna mpumbavu atakuja hapa na povu jingi wakati ukweli upo wazi
leo anayesapoti mikutano ya Lissu ni Twaha na Maria kule x wengine wote wamejificha kwenye koti la arakati za kumshambulia ajati wamesahau ya kwao yapo wazi kama nyeo la nyani
Inshu siyo kuondoka mbowe tatizo ni makundi anayoyatengeneza Iri tu awazoofishe washindani wake ndani ya chama. Nani isiyefahamu kuwa chadema Leo hii imegawanyika maKundi2 moja likiongozwa na mbowe na jingine kundi la waungwana limesimama na Lissu
Imefikia hatua mpka mikutano ya Lissu wale...
Ndio walewale walafi wa madalaka yaani wanaamini wanaongoza mandondocha na ndiomaana hawamiini katika kushindwa
Kwa mtazamo wangu kiongozi kama mbowe akipewa nchi atabadiri katiba iri tu impe uhalali wa kutawala milele. Maana tabia nikama ngozi kamwe uwezi kuibadiri
Msigwa ni mrafi wa madaraka miaka 10 yote hajatosheka kukalia kiti kwamba yeye anaamini kifo tu ndio kinastahili kumuondowa kwenye uongozi vinginevyo hatakiwi kabisa kushindwa.
Msigwa anataka atuaminishe kuwa iri uwe mwanasiasa wa Kiafrica nilazima ufikiri kwa kutumia tumbo badala ya kichwa😵...
Mti wenye matunda sharti upigwe mawe ndivyo ilivyo pia kwa kiongozi bora na mzalendo kama MAKONDA
Makonda ni miongoni mwa viongozi wachache barani Africa waliotayari kupoteza hata kile walicho nacho kwa ajili ya kuwapigania wananchi wake.
Sote nimashaidi tumeishuhudia kazi iliyo tukuka ya P...
Watu mna chuki binafisi na makonda kiricho tokea nijambo la kawaida huwezi kuulizwa swali badala ya kujibu unaanza kujinyentuwa nyentuwa kanakwa unatongozwa eti utazame tu nyooo
Mkuu upo Sawa ndani ya chadema kuna watu wanaamini bila mbowe hakuna chama. Na unapokutana na kundi la wajinga kama hao maana yake unaweza kuwatawala hata 1000
Jambo la kujiuliza viumbe hawa sijui wanapata wapi uhalali wa kuubiri demokrasia ilihali wao hata misingi ya demokrasia hawataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.