Sina zaidi la kueleza maana mada za Nchimbi jukwaani ni nyingi.
Je, kibano cha mabeberu kinafanya kazi yake na watu wanfikiri sawasawa sasa?
At any rate , hata Mwalimu mwaka 1977 aliwahi kusema TUJUSAHIHISHE, kama msimamo wa TANU/CCM.
Tatizo kubwa ni watu kubadili mindset.
Tuelewe kuwa mtu awe CCM, CHADEMA au ACT au NCCR Mageuzi, au asiye na chama kabissa, huyu ni MTANZANIA kama mtu yeyote na ana haki sawa.
Nimeona familia fulani watoto wa mzee kila mmoja ana chama chake, na wanaishi nyumba moja.
Ha ha ha!
Huyo mzee Assey ni mjinga wa wajinga.
Mtu huchagui zawadi toka moyoni.
Mtoa zawadi hana matatizo na sasa anajua tatizo katika familia ya mke wake iko wapi.
Mimi iliwahi nitokea, mkwe(wa mbali kidogo), nilimpelekea zawadi akaishia kunikandia kuwa nisimpekee vizawadi duni na kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.