Recent content by lolawakingwa

  1. lolawakingwa

    Ujio wa Balozi Augustino Mahiga inaweza ikawa ndo mwisho wa mchungaji Peter Msigwa?

    Mokoyo kwema mkuu haya sasa huyo uliyomkejeli kwa Waziri
  2. lolawakingwa

    Ujio wa Balozi Augustino Mahiga inaweza ikawa ndo mwisho wa mchungaji Peter Msigwa?

    @precisepangolin unajiskiaje mkiu baada ya Mahiga kupewa uwaziri.
  3. lolawakingwa

    Ujio wa Balozi Augustino Mahiga inaweza ikawa ndo mwisho wa mchungaji Peter Msigwa?

    2hery Mahiga kawa Waziri . Sijui alikuwa hana maadili gani?
  4. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    chicharito cv wana iringa wameshaamuwa hawamtaki msigwa arudi kanisani
  5. lolawakingwa

    Maziwa fresh, Kiswahili chake ni nini?

    Maziwa halisi
  6. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    masterp usichezee Asas babaa hawa jamaa ni moto wa kuotea mbali nawafahm siku nyingi sana. IRINGA SALIM ASAS HUWELEZI KITU WANA IRINGA ANAWASAIDIA SANA HATA HUYO MCHUNGAJI WENU ANAMJUWA VIZURI SANA
  7. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    Magari ya mgombea urais wa Chadema Edward Lowasa yakijaza mafuta kituo cha ASAS siku moja baada ya MCH msigwa kuwataka wafuasi wa chama hicho kususa biashara za
  8. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    Magari ya mgombea urais wa Chadema Edward Lowasa yakijaza mafuta kituo cha ASAS siku moja baada ya MCH msigwa kuwataka wafuasi wa chama hicho kususa biashara za Asas
  9. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    tol Arusha sisi tutanunua kama kawaida. Labda nyinyi wapumbavu na malofa mliyokuwa maskini hamuna hela
  10. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    Precise Pangolin sijui hata kama kuuza karanga umewahi. Utakufa maskini mpumbavu na lofa wewe. Msigwa hapati kura
  11. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    white wizard inawauma kuona huyu ASAS ana nguvu kubwa sana iringa. Ama kweli Chadema kiboko yao Asas hapo fikiria wanapambana na mtu binafsi . Hapo bado msigwa hajakutana na moto wa CCm msigwa anakazi sana mwaka huu .
  12. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    Msigwa kashapoteza jimbo . Na wana iringa wamesema msigwa hatopata kura . Arudi kanisani
  13. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    BVR 2015 unajuwa wewe naye ni mjinga sana kama msigwa . Sasa ukinunua au usipo nunua utawapunguzia nini hawa Asas. Kweli Mkapa alikuwa sahihi kuwaita wapumbavu na mlofa. Maskini nyinyi
  14. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    David Thomas M mskini wewe inaonekana unamepepo ya wivi mwambie huyo mpumbavu msigwa akuombee ili akutoe hayo mapepo ya wivu puanguani wewe
  15. lolawakingwa

    Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    Huyo mchungaji ni mjinga na mpumbavu. Sasa biashra na siasa wapi na wapi. Ama kweli chadema wameishiwa. Huyo msigwa hata kuwa mwenyekiti wa mtaa hafai.
Back
Top Bottom