Recent content by Logikos

  1. Logikos

    PostGE2025 Swali Fyatu: Madai ya kuletwa Mamluki Oktoba 29 yametolewa maelezo popote?

    Truth is no longer important...; Watu vain ambao wapo tayari kusema wameshinda 98 percent (pamoja na shida zote zile) ingawa hata wangesema 51 bado wangeshinda, unategemea watakubali kwamba walifanya mauaji ? Au watakuuliza mauaji gani ?
  2. Logikos

    PostGE2025 Hichi kipindi ni fursa adhimu ya vuguvugu jipya la vyama vya siasa nchini

    And you think this is just political ?!!!! Hii ni zaidi ya Siasa na nane aliyepo bali juu; hili ni bomu la watu kuwa mafukara na kuona wazi kabisa kwamba keki ya taifa inaliwa na wachache bila hope yoyote ya kesho yao... Na kwa taarifa yako hii ni rasharasha mvua yenyewe itakuja hapo Gen...
  3. Logikos

    Wasira alisema CCM ilisimamisha mgombea wao lakini wanachama wa CHADEMA wakawa wanatukanana kwa siku 31 badala ya kuchagua mgombea wao

    Haya ya CHADEMA tuwaachie CHADEMA, na hata kabla hatujaongelea hizo 98 percent na Harufu ya Ballot Stuffing; Vipi mwendelezo wa danadana na kutokuwajibika wa wauwaji (Yaani sio Civilians against Civilians bali State against Civilian) - haya yatazungumzwa lini ? Sababu hizi ngonjera ni kutonesha...
  4. Logikos

    Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

    Mbinu inategemea wewe binafsi mwingine anaweza akafanya akapata wewe ukafanya kitu kilekile, mbinu zilezile na usipate... Unless unafanya kile ambacho kila mtu anajua kwamba ukifanya A basi lazima upate B, utakachoambiwa sio guarantee na vile ambavyo kila mtu anajua vitakuwa na ugumu fulani au...
  5. Logikos

    Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

    Kibaraka ni nani ?!!!! https://www.jamiiforums.com/threads/propaganda-za-vibaraka-na-usaliti-wa-wasaliti.1653454/
  6. Logikos

    PostGE2025 Rais Samia: Hakuna maendeleo bila amani

    Hio mbona ni wazi kabisa ? Sababu hata bila amani hayo sio maendeleo kwahio hilo sio swali la kujiuliza la kujiuliza ni Nani anafanya Amani isiwepo ? Sababu naona kama ni mwendo wa kunyosheana vidole tu hata wakosaji nao ni kulaumu wengine...
  7. Logikos

    Kwa hiyo tumekubaliana wakifa wote tutatawaliwa na watoto sio? Pole Halima Mdee!

    Nadhani tatizo kuu watu hatujui tatizo' Tumeshaona kwamba Utumishi ni Ulaji na ni Utawala na sio Uwajibikaji; ingekuwa kuna uwazi na watumishi wanafuatiliwa wala watu wangekuwa hawapendi hizi shughuli na tusingekuwa na professionals kibao badala ya kwenda kutumia profession zao wapo bungeni /...
  8. Logikos

    Uhai wako si Mali ya jumuia ni mali Yako binafsi. Ukifa kwa kujitakia utasahaulika na maisha yataendelea, acha kushiriki matendo maovu utakufa

    Anayefanya vurugu na uhuni sasa hivi ni nani kama sio walamba asali ambao hawatoi value for money kwa walipa Kodi ? https://www.jamiiforums.com/threads/swali-kwa-serikali-mwananchi-ni-mwenye-nchi-nguvu-kazi-au-kitega-uchumi-chanzo-cha-mapato.2273345/
  9. Logikos

    Kama UN kupitia Katibu Mkuu wake wamekiri na kusema kuwa Tanzania hakuna tatizo Wewe Mwananchi unapata wapi nguvu ya Kuichafua nchi Kimataifa?

    Unasubiri UN ndio wakwambie welfare ya sehemu wewe ulipo ? Kweli tuna safari ndefu sana; Kwa tunaoijua Tanzania kilichotokea ni kama Jehanum ila huenda nyie mliozoea Gaza, Bosnia, Somalia au Sudan mnaweza kuona kwa Vyombo vya usalama kufanya target practice kwa raia au ballot stuffing ni Kosher...
  10. Logikos

    Tetesi: Kwanini Serikali izuie daktari kutoka Kenya kufanya vipimo mwili wa Jenista?

    Confirmed ?; Na serikali imewapa jibu gani katika kukataa kwao / kujitetea
  11. Logikos

    Tetesi: Kwanini Serikali izuie daktari kutoka Kenya kufanya vipimo mwili wa Jenista?

    Kabla hatujauliza kwanini, tumesha-confirm kwanza kwamba ndugu wanataka upimaji ?
  12. Logikos

    PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

    Ni mwendo wa Vitisho - Nadhani hawa wadau wa sasa ni subscribers wa Heinrich Himmler. "The best political weapon is the weapon of terror. Cruelty commands respect. Men may hate us. But, we don't ask for their love; only for their fear."
  13. Logikos

    Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    Mamlaka gani ? Ushaambiwa humu kuna anyonymity kwahio ukishasema wawajibishwe watu huoni kwamba unatoa anonymity ? Pili kwani mamlaka hazijui kwamba JF ni Content ni user Generated - Akutafutae hawezi kukosa kosa, hata unaweza ukamsalie akasema unamdharau Mwisho kabisa kwani BAN hazipo au...
  14. Logikos

    Samia ni Rais pekee Afrika anayeukataa ukoloni mambo Leo (neo-colonialism) waziwazi

    Kwamba kila kitu hatuwezi Bandari (the commanding height of the country) mnasema hatuwezi tuwape wengine; Bwawa tumemaliza mnataka kuwaleta ADANi na mnangangania kwamba wachina ndio wanachukua kazi zenu za uchuuzi ? Kwamba hizo ndio mnaweza !!!! Umeme mnao wa kumwaga ila mnatumia Gesi kutoka...
  15. Logikos

    Sasa kwanini walifanya siri kumshikilia Geofrey Mwambe?

    Wakati kuna watu wamakamatwa na wengine kupotea na Vyombo kukataa kwamba hatujawakamata.... Yet Jeshi bado linakamata watu kama hawa (ambao walikuwa na wadhifa let alone mtu wa kitaa) na kukaa kimya wala bila kuelezea nini ndio nini..., Je wanategemea kinachofanyika kinajenga ? Kumbuka imani...
Back
Top Bottom